iqna

IQNA

Chama tawala Australia
Chama cha Labour cha Australia kimemsimamisha Seneta Fatima Payman kushiriki katika mikutano yake ya kundi la Seneti kwa muda usiojulikana baada ya kuunga mkono hoja ya Chama cha Kijani cha kuitambua Palestina kama taifa huru.
Habari ID: 3479056    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03

Hijabu katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Fatima Payman , ambaye amechaguliwa kuwa mwanamke wa kwanza wa Muislamu aliyevalia hijabu katika Bunge la Seneti nchini Australia, anasema anataka kuhakikisha kuwa uvaaji
Habari ID: 3475422    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25